Search

53 results for Aisha Lungato :

  1. Gift atamani kuwa Miss Tanzania 

    Miss Kinondoni Gift Moureen, mlimbwende anayechipukia kwa kasi ameeleza kwa undani kuhusiana na safari yake ya urembo na kusema anataka kuona siku moja anatwaa taji la Taji la Miss Tanzania

  2. Stive Wonder sasa ni raia wa Ghana

    Mwanamuziki wa Marekani Stevie Wonder sasa ni raia wa Ghana baada ya kula kiapo cha utii na kupokea cheti cha Uraia kutoka kwa Rais wa nchi hiyo Nana Akufo-Addo jana Mei 13, 2024.

  3. Waigizaji wa kiume matajiri zaidi duniani

    Wasanii wa maigizo ni watu wenye ushawishi zaidi duniani na hujizolea umaarufu kutokana na vipaji na taaluma walizonazo, ambazo zinawabeba na kuwafanya wajulikane huku uvaaji wao wa uhusika...

  4. Mike Tyson ala nyama mbichi kujiandaa na pambano

    Bondia wa zamani wa ngumi za kulipwa kutoka Marekani, Mike Tyson ameweka wazi kuwa kwa sasa anakula nyama mbichi kwa ajili ya kujiandaa na pambano lake dhidi ya Jake Paul linalotarajiwa kufanyika...

  5. Mafundi 163 watumika kutengeneza vazi la Alia Bhatt

    Vazi alilovaa mwigizaji kutoka India Alia Bhatt kwenye tamasha la mitindo duniani ‘Met Gala’ lililofanyika Mei 6 mwaka huu katika ukumbi wa ‘Metropolitan Museum of Art’ Manhattan, New York City,...

  6. Akili bandia yatumika kudanganya uwepo wa Rihanna 'Met Gala'

    Baada ya kuripotiwa kuwa mwanamuziki Rihanna hakuweza kuhudhuria katika tamasha la mitindo la ‘Met Gala’ lililofanyika nchini Marekani, baadhi ya watu wametengeneza picha ‘feki’ za msanii huyo...

  7. Mke wa Mohbad akanusha kupima DNA kwa siri

    Omowunmi Aloba, maarufu Wunmi mke wa marehemu msanii kutoka nchini Nigeria Mohbad amekanusha kufanya vipimo vya siri vya nasaba deoxyribonucleic acid (DNA) kwa mwanaye, Liam Mohbad.

  8. Davido, Wizkid kama Diamond na Konde hapatoshi

    Wanamuziki kutoka nchini Nigeria, Davido pamoja na Wizkid wapo katika bifu zito, baada ya shabiki wa Wizkid katika mtandao wa X (zamani Twitter) kumuomba msanii huyo atoe ngoma mpya ambapo Wizkid...

  9. Benzino: R.kelly anastahili nafasi ya pili

    Mmiliki wa vyombo vya habari na ‘rapa’ kutoka nchini Marekani Raymond Scott, maarufu ‘Benzino’ amemkingia kifua mkali wa R&B, R. Kelly akitaka msanii huyo aachiwe huru na apewe nafasi ya pili...

  10. Tyla awajibu wanaomfananisha na Rihanna

    Japo siyo mbaya mtu kulinganishwa na mwingine lakini kwa mwanamuziki kutoka nchini Afrika Kusini Tyla ameonekana kutopendezwa na suala hilo, hii ni baada ya wadau kuunganisha picha yake na ya...

Page 1 of 6

Next